REPORTING

Stand Up For Your Rights!

REPORT A VIOLATION OR THREAT / RIPOTI UKIUKAJI AU TISHIO

This form is intended for LGBTQ+ people in Kenya to report incidents of violation or threats including those occurring online. Fomu hii imeundwa kwa ajili ya watu wa LGBTQ+ nchini Kenya kuripoti visa vya ukiukaji au vitisho ikiwa ni pamoja na mtandaoni..

Unaweza kuripoti kwa niaba yako mwenyewe, rafiki, shirika, au jumuiya/You can report on behalf of yourself, a friend, organisation or community.

    None. Just reporting / Hakuna, ninaripoti tu.Talk to a Lawyer / Ongea na wakiliGet Counselling / Pata mshauriOther Assistance / Msaada mwingine

    Data ya Kibinafsi na Usiri / Data Privacy and Confidentiality

    Tunachukua usiri wa data yako kwa uzito mkubwa. Taarifa utakazotupatia zitashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Data ya Kenya na sera zetu za data na usiri. Tunazingatia taarifa zote kwa usiri mkubwa na hazitashirikiwa na watu wa nje. Tafadhali soma sera yetu ya faragha kupata maelezo zaidi kuhusu jinsi tunavyoshughulikia data yako.

    We have a strict confidentiality policy. All information submitted or collected by us will be treated with utmost confidentiality in accordance with Data Protection laws and our data privacy policy and is not accessible to third parties. To see how we use your data see our data privacy and confidentiality statement here.

    Asante kwa Kuripoti / Thank You for Reporting!

    Ukiona mtu mwingine akikabiliwa na ukiukaji wa haki, unaweza pia kuripoti kwa niaba yake. / If you see someone else experiencing a human rights violation, you can also report on their behalf.

    error: Content is protected!